Habari

Fahamu aina mbalimbali za pochi kazi zake na umuhimu wake kwa wanawake


Pochi  ni  muhimu  sana katika maisha ya mwanamke yeyote.Pochi  utumika kila eneo la maisha kuanzia nyumbani ,kazini kanisani,n.k
Pochi zipo za aina mbalimbali kwa matumizi mbalimbali.Pochi uongeza umaridadi katika muonekano wa mwanamke hivyo ni muhimu kuangalia ubebeji wa pochi kulingana na mahali,tukio na hata ikiwezekena mavazi.

POCHI SAIZI YA KATI.

Pochi hii utumika katika shuguli mbalimbali za kila siku inafaa iwe na rangi itakayokuwezesha kuivaa na nguo nyingi  iwezekanavyo,mfano rangi nyeusi,dark brown,audark grey.Pochi hii aifai iwe na vikorombwezo vingi ,iwe tu plaini yenye muundo wa kuvutia na uwezo wa kubeba vitu muhimu vya kila siku kama waeti,simu ,diary,na vitu vingine vidogodogo.Pochi hii unaweza kwenda nayo kazini,kanisani,mkutanoni,n.k.

POCHI YA SAIZI YA KUBWA

Inaweza kuwa ya ngozi au vinginevyo,kwa rangi yoyote unayoipenda na kwa aina yoyote ile.Pochi  hii utatumia kwenda nayo  shopping au matembezeni yoyote ambayo unajua utahitaji kuweka vitu vingi kwenye pochi ,kwa wale wenye watoto wadogo pochi hii inafaa sana maana itakuwezesha kubeba mahitaji yote ya mtoto kama diapers,maziwa,juice,nguo,nepi n.k.

POCHI YA MKONONI[clutch/Purse]

Pochi hii maalumu hasa unapotok usiku kwenda kwenye sherehe au chakula cha usiku.Zipo za aina na rangi tofauti na inapendeza zaidi kama ukimechi na rangi ya viatu au herein.Ni ochi ya kushiks mkononi na itakuwa na uwezo wa kuweka vitu vidogodogo kama simu,lipshiner,lipstick.

WALETI.

Hii ni pochi ndogo ambayo mara nyingi huwekwa ndani ya pochi kubwa na hubeba fedha,kadi mbalimbali,risiti na hata simi.Waleti zipo za aina  tofauti huweza pia kutumika yenyewe pale unapokuwa unaenda mahali ambapo huitaji kubeba vitu vingi zaidi vinavyokaa ndani ya wallet.

0 comments:

Fahamu jinsi ya kutunza nywele zako kwa kutumia Asali na Alovera


Wapenzi wasomaji wa makala hi ya urembo  leo nitaelekeza jinsi ya kukuza nywele kwa kutumia asali iliyochanganywa na muarovera .


Mara nyingine wanawake wamekuwa wakitumia kias kikubwa cha pesa katika kuhakikisha nywele zao zinakuwa ndefu na kupendez a.umaidadi wa nywele ndicho  kivutio kikubwa kwa mwanamke anaye jipenda ,gharama za kutunzwaji wa nywele  zinakuwa kubwa kutokana na matunzo.

Gharama za matunzo ya nywele sio wanawake wote wanaweza kuzimudu , na watakao zimudu ni wale wenye kipato kikubwa cha pesa kwani mwanamke ataitajika kwenda saluni mara kwa mara ili kuweka stiming.Kutunza nywele kwa gharama iliyo ndogo inawezekana kama mtu atakuwaa akitunza nywele izo  kwa kuumia vitu vya asili.

Muarovera ni mmea ambao hutumika katika kutibu magonjwa mbalimbali ambayo pia ni dawa ya kula,Pia uimarisha nywele na kuzipa chakula ,, jinsiya kutengeneza asali iliyo changanywa na muarovera,.

HATUA.
  1. Chukua asali mimina katika chombo kisafi.
  2. Twanga majani ya muarovera mpaka yalainike kama maji katika majani ya muarovera na asli kasha koroga pamoja.
  3. Kata mistari katika nywele zako ambazo bado hauja ziosha .weka mchanganyiko huo katika kila kona ya mistari iliyo ikata.
  4. Hakikisha katika ngozi ya kichwa mchanganyiko huo umefika.
  5. Kaa kwa muda wanusu saa.
  6. Osha nywele zako kwa kutumia maji safi na sabuni ya nywele( Shapoo)
  7. Angalia nywele zitakapo kauko uzipake mafuta mepesi (mafuta mepesi)unaweza kusuka au kufanya vyovyote unavyo jisikia , mchanganyiko huo haubagui nywele.

0 comments:

Zingatia haya unapotaka kuvaa upendeze


Tujikumbushe kuhusu kuvaa siku za karibuni kumekuwa na mitindo mingi sana ya uvaaji lakini je unapovaa ubazingatia unaenda wapi

0 comments:

Unataka kupendeza vaa hivi

Kwa siku za karibuni kitenge kimekuwa na nafasi nzuri katika mavazi kwa watu wengi duniani kote ukweli ni kwamba 


0 comments:

Michezo