Fahamu aina mbalimbali za pochi kazi zake na umuhimu wake kwa wanawake
Pochi ni muhimu sana katika maisha ya mwanamke yeyote.Pochi utumika kila eneo la maisha kuanzia nyumbani ,kazini kanisani,n.k
Pochi zipo za aina mbalimbali kwa matumizi mbalimbali.Pochi uongeza umaridadi katika muonekano wa mwanamke hivyo ni muhimu kuangalia ubebeji wa pochi kulingana na mahali,tukio na hata ikiwezekena mavazi.
POCHI SAIZI YA KATI.
Pochi hii utumika katika shuguli mbalimbali za kila siku inafaa iwe na rangi itakayokuwezesha kuivaa na nguo nyingi iwezekanavyo,mfano rangi nyeusi,dark brown,audark grey.Pochi hii aifai iwe na vikorombwezo vingi ,iwe tu plaini yenye muundo wa kuvutia na uwezo wa kubeba vitu muhimu vya kila siku kama waeti,simu ,diary,na vitu vingine vidogodogo.Pochi hii unaweza kwenda nayo kazini,kanisani,mkutanoni,n.k.
POCHI YA SAIZI YA KUBWA
Inaweza kuwa ya ngozi au vinginevyo,kwa rangi yoyote unayoipenda na kwa aina yoyote ile.Pochi hii utatumia kwenda nayo shopping au matembezeni yoyote ambayo unajua utahitaji kuweka vitu vingi kwenye pochi ,kwa wale wenye watoto wadogo pochi hii inafaa sana maana itakuwezesha kubeba mahitaji yote ya mtoto kama diapers,maziwa,juice,nguo,nepi n.k.
POCHI YA MKONONI[clutch/Purse]
Pochi hii maalumu hasa unapotok usiku kwenda kwenye sherehe au chakula cha usiku.Zipo za aina na rangi tofauti na inapendeza zaidi kama ukimechi na rangi ya viatu au herein.Ni ochi ya kushiks mkononi na itakuwa na uwezo wa kuweka vitu vidogodogo kama simu,lipshiner,lipstick.
WALETI.
Hii ni pochi ndogo ambayo mara nyingi huwekwa ndani ya pochi kubwa na hubeba fedha,kadi mbalimbali,risiti na hata simi.Waleti zipo za aina tofauti huweza pia kutumika yenyewe pale unapokuwa unaenda mahali ambapo huitaji kubeba vitu vingi zaidi vinavyokaa ndani ya wallet.
0 comments: